Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe kuhusu Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain
Tanzania Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania
Limited Meatu mkoani Simiyu tarehe 17 Juni, 2025.

Mandhari
ya kiwanda cha kuchakata pamba cha Biosustain Tanzania Limited kilichopo Meatu
mkoani Simiyu ambacho kimezinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, tarehe 17 Juni, 2025.
0 comments:
Post a Comment