Nafasi Ya Matangazo

May 04, 2026

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa ufundi na Umeme (TEMESA).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. Kheri Abdul Mahimbali ameteuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA).

Mahimbali aliwahi kuwa Naibu Katibu Kuu Wizara ya Nishati na Madini baadae kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Madini.


Posted by MROKI On Monday, May 04, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo