Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni
wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto wakati wakitembelea
mabanda ya maonesho kabla ya kushiriki kwenye Jukwaa la Biashara kati ya
Tanzania na Kenya lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha
Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia
viongozi pamoja na wafanyabiashara kwenye Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania
na Kenya lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe
04 Mei, 2026.

Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto akihutubia viongozi pamoja na
wafanyabiashara kwenye Jukwaa la Biashara kati ya Tanzania na Kenya
lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
(JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe

Viongozi pamoja na
wafanyabiashara wakiwa kwenye Jukwaa la Biashara
kati ya Tanzania na Kenya lililofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 04 Mei, 2026. 

0 comments:
Post a Comment