Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akizungumza leo na wananchi wa Kata ya Lusaka , Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa , ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo.
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akizungumza na Katibu wake Bw. Juma Ijumaa wakati wa mkutano wa Hadhara uliofanyika katika Kata ya Kasulu, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huoNaibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Lowe mara baada ya kufanya mkutano wa Hadhara uliofanyika, ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo
Sehemu ya wananchi wa Kata ya Lusaka, Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Mkoani Rukwa wakimsikiliza Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu mara baada ya kuwasili katika Kata ya Lusaka , ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu alipoteuliwa kushika wadhifa huo
Baadhi ya wananchi wa Kata ya Lusaka wakimlaki Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu mara baada ya kuwasili katika Ofisi za CCM Mkoa wa Rukwa, Ikiwa ni ziara yake ya kwanza tangu kuteuliwa kushika wadhifa huo'
********************
Na. Lusungu
HelelaNaibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kwela, Mhe. Deus Sangu amepiga marufuku Walengwa wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) wakiwemo wazee wenye umri wa zaidi ya miaka 65, wenye ulemavu, akina mama wajawazito pamoja na watoto kufanya kazi za kujitolea huku akionya Watendaji watakaozembea kusimamia suala hilo hatua kali za kinidhamu zitachukuliwa dhidi yao
0 comments:
Post a Comment