Rais Yoweri Museveni wa Uganda (wa nne kushoto) pamoja na viongozi wengene wakifuatilia hotuba ya Waziri Kassim Majaliwa aliyoitoa wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort Munyonyo, Kampala Uganda,Januari 11, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa pamoja na baadhi ya Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika wakisikiliza wimbo wa taifa wa Uganda katika ufunguzi wa Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort Munyonyo, Kampala Uganda, Januari 11, 2025. Waziri Mkuu alimwakilisha Rais Dkt Samia Suluhu Hassan wenye mkutano huo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini mbele ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda (kushoto) na Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika baada ya kushuhudia Tamasha la Kahawa Afrika. Africa Coffee Festival) lililolenga kuhamasisha uongezaji thahamani katika mazao yanayolimwa Afrika likiwemo zao la kahawa. Tukio hilo lilifanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort, Munyonyo, Kampala Uganda ambako alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika, Januari 11, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort Munyonyo, Kampala Uganda, Januari 11, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Kikwete wakiwa katika picha ya pamoja na Viongozi Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika baada ya Rais Yoweri Museveni wa Uganda kufungua Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika kuhusu Mpango wa Maendeleo ya Kilimo Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Speke Resort, Munyonyo, Kampala Uganda, Januari 11, 2025.

0 comments:
Post a Comment