Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2024

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza kikao kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri  kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Mei 7, 2024. Kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko na kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Jenista Mhagama


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko  alipowasili kwenye viwanja vya jengo la Hazina jijini Dodoma  kuongoza kikao kazi cha Mawaziri, Mei 07, 2024. Wa tatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Jenista Mhagama na wa pili kulia  ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge Dkt. Jim Yonazi.
Posted by MROKI On Tuesday, May 07, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo