Swedy Mwinyi wa TBC afariki dunia Mtangazaji maarufu wa mpira wa miguu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Ramadhani Swedy Mwinyi amefariki dunia. Swedy Mwinyi amefariki dunia leo Mei 12, 2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili - Mloganzila iliyopo Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu.
Father Kidevu Blog inatoka pole Kwa Familia yake, ndugu, Jamaa, wafanyakazi wa TBC, marafiki na wadau wote wa Habari kufuatia msiba huu.
0 comments:
Post a Comment