Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mara
baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini
Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.
Rais Samia anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye
lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze
kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA. IDA ni Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia
unaotoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Afya
wa Kenya Susan Nakhumicha mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024.
Rais Samia anatarajia kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye
lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze
kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA. IDA ni Mfuko Maalum wa Benki ya Dunia
unaotoa mikopo nafuu na misaada kwa nchi zinazoendelea.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na Waziri wa
Afya wa Kenya Susan Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28
Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye
lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze
kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi
mbalimbali waliofika kumpokea mara baada ya kuwasili Jijini Nairobi Kenya
tarehe 28 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za
Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya
Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya Ua mara baada ya
kupokelewa na Watanzania Waishio Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili,
2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na baadhi ya
Watanzania waliofika kumpokea Jijini Nairobi mara baada ya kuwasili kwa ajili
ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wenye lengo
la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa
21 wa IDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Waziri wa Afya wa Kenya
Susan Nakhumicha (kulia) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Jomo Kenyatta Jijini Nairobi nchini Kenya tarehe 28 Aprili, 2024 kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa
Nchi za Afrika wenye lengo la kuainisha vipaumbele vya Nchi hizo ili
viweze kuzingatiwa kwenye mzunguko wa 21 wa IDA
0 comments:
Post a Comment