Na Joseph Mahumi, WF, Washington
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) jijini Washington D.C, Nchini Marekani, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Tanzania.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu
Lameck Nchemba Madelu (Mb) (kushoto), na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia
anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1
Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
kumalizika kwa kikao chao kilichofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo, jijini
Washington D.C, nchini Marekani, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe
(Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF),
ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano kati ya Benki ya
Dunia na Tanzania.
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza jambo wakati wa kikao chake
na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia
anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1
Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko (hayupo pichani) Makao Makuu ya Benki
hiyo jijini Washington D.C, nchini Marekani,
wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya
Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), ambapo wamejadiliana masuala
mbalimbali yanayohusu ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na Tanzania.Ujumbe wa Tanzania (kushoto) ukiongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), ukiwa katika kikao na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group 1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko, Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Washington D.C, nchini Marekani, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings) ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na Tanzania.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki
ya Dunia anayesimamia Kundi la Kwanza la nchi za Kanda ya Afrika (Africa Group
1 Constituency), Dkt. Floribert Ngaruko (Katikati), akizungumza wakati wa kikao
na ujumbe wa Tanzania ulioongozwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck
Nchemba Madelu (Mb), kilichofanyika Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Washington
D.C, nchini Marekani, wakati wa mikutano ya Majira ya Kipupwe (Spring Meetings)
ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), ambapo wamejadiliana
masuala mbalimbali yanayohusu ushirikiano kati ya Benki ya Dunia na Tanzania.
Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mtendaji Mbadala wa Benki ya Dunia,
anayewakilisha Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika (Africa Group 1 Constituency
(AfG1), Dkt. Zarau Kibwe (kushoto), Mshauri wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya
Dunia, anayewakilisha Kundi la Kwanza la Nchi za Afrika (Africa Group 1
Constituency (AfG1), Bw. Venuste Ndikumwenayo (kulia).



.jpg)
.jpg)



0 comments:
Post a Comment