Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalum Mhe. Capt. George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma Leo Aprili 22, 2024 wakati Bunge likiendelea na vikao vyake katika Bunge la Bajeti. (Picha na Ofisi ya NWM)
0 comments:
Post a Comment