Nafasi Ya Matangazo

April 08, 2024


Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Jimbo la Kwahani, Zanzibar Ahmed Yahya Abdulwakil (pichani) aliyefariki ghafla kwa shinikizo la damu.

Abdulwakil atazikwa kesho Aprili 9, 2024 Kwahani Zanzibar.

Kufuatia msiba huo, Dkt. Tulia amelazimika kuahirisha shughuli za Bunge hadi Aprili 15, 2024.
Posted by MROKI On Monday, April 08, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo