Nafasi Ya Matangazo

April 09, 2024

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akikaribishwa katika Ofisi yake na mtumishi wa wizara hiyo,Catherine Eliah,baada ya kuwasili leo Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudumu katika wizara hiyo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akisalimiana na mtumishi wa wizara hiyo,Ezekiel Nyange wakati akiwasili leo Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudumu katika wizara hiyo
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akisalimiana na mtumishi wa wizara hiyo,William Kilangi wakati akiwasili leo Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudumu katika wizara hiyo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Daniel Sillo akisalimiana na mtumishi wa wizara hiyo,Joshua Sarao wakati akiwasili leo  Makao Makuu ya wizara,Mtumba jijini Dodoma baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhudumu katika wizara hiyo.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo  (katikati mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Uongozi wa wizara hiyo ukiongozwa na Katibu Mkuu, Ally Senga Gugu (watatu kushoto), Naibu Katibu Mkuu, Dkt.Maduhu Kazi(wapili kulia) na watumishi wa wizara hiyo baada ya kuwasili leo   Makao Makuu ya wizara, Mtumba jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Posted by MROKI On Tuesday, April 09, 2024 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo