Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa Heshima za mwisho katika Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan akitoa pole kwa familia ya marehemu Patrick Mfugale katika viwanja vya
Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021. |
0 comments:
Post a Comment