Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro akizungumza na Makamishna Uhifadhi, Manaibu Kamishina,Wakuu wa Kanda na Wakuu wa Hifadhi na Misitu katika mkutano uliofanyika leo katika Hifadhi ya Taifa ya Manyara mkoani Manyara mara baada ya kusaini kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi la Wanyamapori na Misitu.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro (katikati) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Jenerali (Mst) George Waitara kanuni za Jeshi la Uhifadhi na Amri za Jeshi la Wanyamapori na Misitu katika hafla iliyofanyika leo katika Hifadhi ya Taifa ya Manyara mkoani Manyara. Kushoto ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja
0 comments:
Post a Comment