Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Bungeni jijini Dodoma, Juni 28, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma, Juni 28, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, Bungeni jijini Dodoma, Juni 28, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment