Nafasi Ya Matangazo

July 03, 2019

 MAMLAKA ya mawasiliano Tanzania (TCRA) Leo imekabidhi leseni ya urushaji wa matangazo kwa njia ya Televisheni kituo cha ABC Television cha jijini Arusha ambacho kinamilikiwa na Kampuni ya Tan Communication Media Ltd ambao pia wanamilikia kituo cha Redio cha Redio 5.

Pichani ni Kaimu Meneja wa TCRA, Arusha, Imelda Salum akikabidhi leseni hiyo kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Tan Communication Media Ltd,  Robert Francis Lowassa. 
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Tan Communication Media Ltd,  Robert Francis Lowassa akizungumza baada ya kupokea leseni hiyo na kuahidi kutoa huduma Bora na kuzingatia masharti yote ya leseni hiyo pamoja na kuwaahidi watanzania upatikanaji bora wa taarifa mbalimbali za kitaifa, kimataifa, burudani na michezo.
Leseni hiyo ya miaka 5 ya kutoa huduma za matangazo ya Televiseni.
Posted by MROKI On Wednesday, July 03, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo