Promosheni ya Tumia EzyPesa kwa watumiaji wa mtandao wa Zantel kutuma na kupokea fedha ambayo iliazinduliwa mwezi uliopita na itakayodumu kwa kipindi cha miezi 3 inaendelea kuwanufaisha wateja wa huduma hiyo ambapo wanaendelea kujishindia zawadi za simu za kisasa za Smartphone kupitia droo za kila wiki na fedha taslimu kupitia droo za kila mwezi.
Meneja wa Zantel Kanda ya Pemba, Yakub Fadhil (kulia) akimkabidhi mshindi wa kwanza wa mwezi wa promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Bw. Abdallah Salum (kushoto) kitita cha shilingi milioni
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku (kulia) akimkabidhi akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Juma Omar mkazi wa Unguja, katika hafla iliyofanyika Darajani mjini Unguja hivi karibuni
Afisa Mauzo wa Zantel kanda ya Pemba, Said Masoud Ali (kulia) akimkabidhi kitita cha shilingi laki mbili mmoja wa washindi kupitia promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Mohamed Nassor, katika hafla iliyofanyika katika ofisi za Zantel ChakeChake Pemba.
Meneja Mawasiliano wa Zantel, Rukia Mtingwa (kulia) akikabidhi simu ya Smartphone kwa mmoja wa washindi kupitia promosheni ya Tumia EzyPesa Ushinde, Aza Joseph mkazi wa Pemba
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Zantel, Sakyi Opuku (kulia) akimkabidhi akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Juma Omar mkazi wa Unguja.
Mkuu wa Huduma na bidhaa wa Zantel, Aneth Muga (kulia), akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Asha Hamim Juma mkazi wa Unguja.
Mkuu wa Huduma na Bidhaa wa Zantel, Aneth Muga (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya Smartphone mmoja wa washindi wa promosheni ya Tumia Ezypesa ushinde, Khadija Ali Makame mkazi waChukwani.
Mkuu wa Huduma na bidhaa wa Zantel, Aneth Muga (katikati) akiwa na baadhi ya washindi wa simu za Smartphone kupitia promosheni inayoendelea ya Tumia ezyPesa Ushinde baada ya kuwakabidhi zawadi zao katika hafla iliyofanyika Darajani mjini Unguja mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment