Nafasi Ya Matangazo

January 09, 2025

MTOTO REGNALDO SAMWELI MSUYA MIAKA (16) ANATAFUTWA, INADAIWA ALIONDOKA NYUMBANI KWAO 15/12/2024 HADI SASA HAJULIKANI ALIPO.
NYUMBANI KWAO NI KINONDONI MTAA MWANANYAMALA KWA KOPA, DAR ES SALAAM. ANASOMA SHULE YA SECONDARY MAKUMBUSHO KIDATO CHA TATU. KWA YOYOTE ATAKAYE MUONA TUNAOMBA ATOE TAARIFA KWENYE KITUO CHOCHOTE CHAPOLICE KILICHO KARIBU.

TAARIFA NAMBA YA POLISI NI MWJ/RB/1893/2024 AU KWA SIMU NAMBA HII 0782 136333
Posted by MROKI On Thursday, January 09, 2025 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo