Nafasi Ya Matangazo

March 12, 2019

Meneja wa Shirika la umeme, TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kushoto), akitoa maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi Dkt. James Nzagi, (mwenye shati ya mabaka) mara baada ya kutembelea kituo cha kupooza umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga. 
Meneja wa Shirika la umeme TANESCO mkoa wa Rukwa, Frank Chambua (kulia), akitoa maelezo kuhusu upatikanaji wa huduma ya nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo cha kupooza umeme kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga. 
Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa Rukwa, Halfan Seba (kulia), akitoa maelezo kuhusu uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga.
Mdhibiti mifumo ya umeme wa TANESCO mkoa wa Rukwa, Halfan Seba (kulia), akitoa maelezo kuhusu uzalishaji na usambazaji wa nishati ya umeme katika mkoa huo kwa viongozi wa Bodi ya Tanesco nchini walioongozwa na Makamu mwenyekiti wa bodi hiyo, Balozi James Nzagi, leo mara baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo eneo la majengo mjini Sumbawanga. 
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (TANESCO), Balozi Dkt. James Nzagi akiambatana na wajumbe wengine wa bodi hiyo kukagua eneo lililotengwa kwa ajili ya kujengwa kwa kituo cha kupoza umeme wa gridi ya taifa mkondo KV 411 lililopo katika kata ya Malangali mjini Sumbawanga Machi 11, 2019 wakati wa ziara ya viongozi wa bodi hiyo mkoani hapa kukagua miundombinu ya Shirika ikiwa ni pamoja na kuangalia hali ya upatikanaji wa umeme.
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (katikati), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.
Makamu mwenyekiti wa bodi ya shirika la umeme nchini (Tanesco), Balozi Dkt. James Nzagi (kulia), akitoa maelekezo kwa watendaji wa shirika hilo mkoa wa Rukwa mara baada ya kutembelea kituo cha kuzalisha na kusambaza umeme cha mjini Sumbawanga wakati wa ziara ya viongozi wa bodi ya shirika hilo.
Posted by MROKI On Tuesday, March 12, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo