Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango (Mb) akiwasilisha Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa , Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20, bungeni jijini Dodoma.
Baadhi ya Mawaziri na Wabunge Wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa (hayupo pichani), kabla ya kuwasilishwa Mapendekezo ya Serikali ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa , Kiwango na Ukomo wa Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2019/20, bungeni jijini Dodoma
0 comments:
Post a Comment