WAZIRI Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa akiwasili Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally akimpokea Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa aliyeongozana na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho walipowasili Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally wakimwangalia Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa akiweka sahihi kweny kitabu cha wageni akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho walipowasili Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally wakiongea na Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho walipowasili Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akimpeleka ofisini kwake Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa alipowasili Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia wakati Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho Ndg. Rostam Aziz wakisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati wa maongezi na Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho Ndg. Rostam Aziz, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea jambo na Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa wakati wakitoka nje wakuwa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho Ndg. Rostam Aziz, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa wakati akitangazia umma rasmi kwamba anarudi nyumbani akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho Ndg. Rostam Aziz, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea baada ya Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa kuutangazia umma rasmi kwamba anarudi nyumbani akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho Ndg. Rostam Aziz, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019
Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa baada ya kuutangazia umma rasmi kwamba anarudi nyumbani akiwa na aliyekuwa Mbunge wa Igunga na mweka hazina wa cha hicho Ndg. Rostam Aziz, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na Waziri Mkuu mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne Mhe. Edward Lowassa baada ya kuutangazia umma rasmi kwamba anarudi nyumbani akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika Ofisi Ndogo za Makao makuu ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam Ijumaa March 1, 2019.
PICHA NA IKULU
***************
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kuujulisha umma wa wana CCM na watanzania kwamba aliyekuwa Mgombea wa UKAWA katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 na kushika namba mbili kwa wingi wa kura katika uchaguzi huo na Waziri Mkuu Mstaafu Ndg. Edward Lowassa amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Ndugu Lowassa alipozungumza na kuwasalimia umati wa wananchi waliokuwapo katika eneo la Ofisi Ndogo ya Lumumba amesemaNimerudi Nyumbani. Ndugu Lowassa ameeleza kuwa kwa kazi nzuri na ya kihistoria inayoendelea kufanyika kwenye nchi yetu kwahakika hakuna haja ya kuendelea kuwa Mpinzani wa Maendeleo haya na sasa yuko tayari kushirikiana na wana CCM wenzake kuijenga nchi yetu kwa kuiletea Maendeleo chini ya Ndugu John Pombe Joseph Magufuli Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania.
Akizungumza na hadhara ilojitokeza katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba, Ndugu Magufuli Mwenyekiti wa CCM amesema Mzee Lowassa amekuwa mtu muungwana sana, alikuwa CCM, alihama lakini ameomba kurudi nyumbani na mimi ninampongeza sana, hata katika dini tunafundishwa kusamehe, karibu tujenge Tanzania yenye umoja na isiyo na migogoro ya kisiasa maana Maendeleo hayana Chama.
Awali Ndugu Lowassa aliwasili mida ya Alasiri katika Ofisi Ndogo ya Lumumba ambako kulikuwa na kikao cha Wakuu wa Chama kilichokuwa kikiendelea.
0 comments:
Post a Comment