Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wa pili kulia) wakimfariji mama Mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba, Christiana Mutahaba wakati walipokwenda nyumbani kwao marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam, kutoa pole kwa familia , Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baba mzazi wa marehemu Ruge Mutahaba wakati alipokwanda nyumbani kwao marehemu, Mikocheni jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia, Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe wakati alipokwenda nyumbani kwao marehemu Ruge Mutahaba, Mikocheni jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia , Februari 27, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Posted by MROKI On Thursday, February 28, 2019 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo