Nafasi Ya Matangazo

November 20, 2016

 Wanafunzi waliohitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi wa Biashara wakishangilia wakati wa Mahafali ya 10 ya  Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Dar es Salaam Tudarco yaliyofanyika leo Mwenge, Dar es Salaam.

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Frederick  Shoo, alitunuku  jumla ya wahitimu 733.
 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Frederick  Shoo,akimtunuku Evelyn Wallace Shundi Shahada ya Uzamili ya Uongozi wa Biashara wakati wa Mahafali ya 10 ya  Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Dar es Salaam Tudarco yaliyofanyika leo Mwenge, Dar es Salaam.
 Wahitimu Agnes Nsokolo (kulia) na Asha Kidendei wakiwa na furaha baada ya  kuwa miongoni mwa wahitimu 43 waliotunukiwa  Shahada ya Uzamili ya Uongozi wa Biashara wakati wa Mahafali ya 10 ya  Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira tawi la Dar es Salaam Tudarco yaliyofanyika leo Mwenge, Dar es Salaam.
 Evelyn Shundi ambaye ni mfanyakazi wa Ewura akiwa na furaha wakati wa mahafali hayo.
 Wahitimu wakivaa kofia baada ya kutukiwa
 Mmoja wa wanafunzi akipatiwa cheti wakati wa mahafali hayo
 Wakivaa kofia ikiwa ni ishara ya kunukiwa
 Wahitimu wakiwa wamekaa baada ya kutunukiwa
 Wahitimu wakiwa wamesimama mbele ya Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira wakisubiri kutunukiwa Shahada ya Uzamili
 Domina Rwemanyila (kushoto) na Diana Tengia wakiwa na furaha baada ya kutunukiwa Sahada ya Sanaa ya  Mawasiliano ya Umma
 Ni furaha iliyoje kutunukiwa Shahada ya Uzamili
 Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, Dk Frederick Shoo na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu waliotunukiwa Sahada ya Uzamili ya Uongozi wa Biashara
 Wapigapicha wakiwa kazini wakati wa mahafali hayo
 Brass Band ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakipiga wimbo wa Taifa wakati wa kuhitimisha mahafali hayo
 Julieth (katikati) akiwa na ndugu zake baada ya kuhitimu katika chuo hicho. Source: Kamanda wa Matukio Blog.
Posted by MROKI On Sunday, November 20, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo