Bwana John Bukuku Mkurugenzi wa Mtandao wa Fullshangweblog na Mama Mkurugenzi kushoto wakimpongeza Mkurugenzi Mtarajiwa wa Fullshangwe Ivone John Bukuku mara baada ya kuhitimu mafunzo ya awali ngazi ya cheti kwenye chuo cha Saint Grory College Of Health and Allied Sciences jijini Dar es salaam katika ndoto yake ya Uuguzi kabla ya kuendelea na hatua nyingine ya mafunzo hayo.
Ivone akipozi kwa picha
Mkurugenzi John Bukuku na Mkurugenzi mtarajiwa Ivone wakipozi kwa picha.
Mkurugenzi mtarajiwa akipokea pongezi kwa simu mkurugenzi mwenza wa Fullshangwe ambaye yuko shule Kilimanjaro na hakuhudhuria mahafali ya dada yake.
Mkurugenzi mweza Diana John wa pili kutoka kulia yeye amempongeza mkubwa wake kwa hatua hiyo japo walipongezana kwa njia ya simu tu akiwa shuleni.
0 comments:
Post a Comment