Nafasi Ya Matangazo

July 20, 2016

Mkuu wa Wilaya ya Kankonko Mkoani Kigoma, Kanali Hosea Ndagala (kulia) akipokea moja ya madawati 100 yaliyotolewa na Benki ya CRDB Kigoma na kukabidhiwa kwake na meneja wa CRDB Tawi a Kasulu, Paul Chacha kushoto. Wanao shuhudia ni Mkurugenzi wa Hamashauri ya Wilaya ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi katikati na ofisa wa CRDB.
Mkuu wa Wialaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala (waioketi kulia) akiwa na Meneja wa CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha (katikati) na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi na walio simama kushoto ni Katibu Tawala wa Kakonko, Zainab Mbunda na watumishi wengine wakipokea madawati hayo 100 kutoka Benki ya CRDB.
Mkuu wa Wialaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala (kulia) akimshukuru Meneja wa CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha (katikati) baada ya makabidhiano ya madawati hayo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi.
Mkuu wa Wialaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala (wapili kushoto) akiwa na Meneja wa CRDB Tawi la Kasulu, Paul Chacha (wapili kulia), Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kakonko, Lusubilo Mwakibibi (kushoto) na Katibu Tawala wa Kakonko, Zainab Mbund. Benki ya CRDB Mkoani Kigoma ilikabidhi msaada wa madawati 100 leo ikiwa niungaji mkono jitihada za serikali katika kukabiliana na tatizo la madawati na kuboresha maeneo ya kufundisha na kufundishia katika shue za Msingi na Sekondari Mkoani Kigoma hususani Wilayani Kakonko. 

Mkuu wa Wilaya ya Kakonko, Kanali Hosea Ndagala ameishukuru Benki ya CRDB kwa msaada huo ambao umeendelea kupunguza hitaji a madawati Wilayani humo ambapo hadi sasa imekamilisha asiliamia 73 ya mahitaji na bado wakiendelea kusubiri utekelezaji wa ahadi za madawati 3,000 kutoka kwa wadau mbalimbali walioko ndani na nje ya Wilaya hiyo
Posted by MROKI On Wednesday, July 20, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo