Sehemu
ya madawati 160 yaliyokabidhiwa na Taasisi ya kidini ya Memon Jamaat katika
Shule ya Sekondari Mikocheni, Dar es Salaam leo Aprili 4 2016.
Wanafunzi wa kidato cha kwanza na pili wa Shule ya Sekondari
Mikocheni, Dar es Salaam wakimsikilza Mwenyekiti wa Bodi ya shule hiyo na Meya
Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiwahutubia wakati wa hafla ya
kukabihi madawati yaliyotolewa leo Aprili 4, 2016 na Taasisi ya kidini ya Memon
Jamaat.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Mikocheni, Dar es
Salaam na Meya Mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda akiwahutubia
wanafunzi wa shule hiyo wakati wa hafla ya kupokea madawati 160 kutoka Taasisi
ya kidini ya Memon Jamaat kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu kwa
wanafunzi wa shule hiyo. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Taasisi hiyo, Yusuf
Esack Ayub, Mjumbe wa taasisi hiyo, Ayub Abdallah (kushoto) na kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule
hiyo, Salama Ndiyetabura.
Mwenyekiti
wa Taasisi ya kidini ya Memon Jamaat,Yusuf Esack Ayub akisaidiwa na Mwenyekiti
wa Bodi ya Shule ya Sekondari Mikocheni na Meya Mstaafu wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda kukata utepe wakati wa hafla ya kukabidhi madawati 160
pamoja na vifaa mbalimbali kwaajili ya kusaidia maendeleo ya elimu kwa
wanafunzi wa Shule hiyo, Dar es Salaam leo Aprili 4, 2016 . Wanaoshuhudia ni
wanachama wa taasisi hiyo, walimu na wanafunzi shule hiyo.
Mwenyekiti wa Taasisi ya kidini ya Memon Jamaat, Yusuf Esack
Ayub (kulia) akikabihi madawati 160 kwa Mwalimu Mkuu wa shule ya Sekondari
Mikocheni, Salama Ndiyetabura kwaajili ya kusaidia maendeleo ya elimu kwa
wanafunzi wa shule hiyo Dar es Salaam leo Aprili 4, 2016 . Wa pili kulia ni
Mwenyekiti wa Bodi ya shule hiyo, Yusuph Mwenda, Mjumbe wa taasisi hiyo, Ayub
Abdallah, Katibu wa taasisi hiyo, Ayub Esack (kushoto), waalimu na wanafunzi wa
shule hiyo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari Mikocheni, Yusuph
Mwenda (mwenye tai nyekundu) akizungumza jambo na Afisa Elimu (Taaluma) Mkoa wa
Dar es Salaam, Janeth Sunza baada ya kupokea Printer na madawati 160 kutoka
Taasisi ya kidini ya Memon Jamaat kwa ajili ya kusaidia maendeleo ya elimu kwa
wanafunzi wa shule hiyo, jijini leo Aprili 4, 2016 . Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule
hiyo, Salama Ndiyetabura.
0 comments:
Post a Comment