Mama mzazi wa birthday boy Kasinge Jr, Marian Johnson (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na birthday boy aliyetimiza mwaka 1 tokea kuzaliwa kwake na aunt pembeni
Madada wakifurahia
Mapozi ya picha sasa
Watoto wakiendelea kucheza na kufurahia
Furaha ya watoto ni kuchorwa usoni na kufurahia wakati wakisherehekea mwaka mmoja wa kuzaliwa kwa Kasinge Johnson Jr
Baba mzazi akimrisha keki birthday boy kwa kutimiza mwaka mmoja tokea kuzaliwa kwake huku mama akifurahia
Madada wakimlisha mdogo wao keki ikiwa ni ishara ya furaha ya kutimiza mwaka mmoja tokea kuzaliwa kwa mdogo wake
Mapozi
0 comments:
Post a Comment