Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akimkabidhi Mhasibu wa wizara hiyo Godfrey Osmund shilingi milioni tatu zilizotolewa na mdau wa michezo ambaye hakutaka jina lake litajwe kwaajili ya kuisaidia timu ya wanawake ya mpira wa miguu ya Twiga Stars. Fedha hizo zimewekwa katika Benki ya NMB Bank House akaunti namba “20110001677 inayojulikana kwa jina la Twiga Stars Special Fund”.
Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura akimweleza jambo Mhasibu wa wizara hiyo Godfrey Osmund mara baada ya kumkabidhi shilingi milioni tatu zilizotolewa na mdau wa michezo ambaye hakutaka jina lake litajwe kwaajili ya kuisaidia timu ya wanawake ya mpira wa miguu ya Twiga Stars. Mhasibu Osmund alizipeleka fedha hizo katika Benki ya NMB Bank House akaunti namba“20110001677 inayojulikana kwa jina la Twiga Stars Special Fund”.
0 comments:
Post a Comment