Nafasi Ya Matangazo

March 01, 2016

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya bia Tanzania TBL wakipata madafu wakati wa  usiku wa mwambao ambao umetayarishwa  kwa ajili ya kuwapatia burudani baada ya saa za kazi uliofanyika jijini Dar es Salaam katika kiwanda cha bia cha Ilala jana.

Mmoja wa wafanyakazi wa  TBL akimpongeza  mwimbaji nguli wa muziki wa taarabu kutoka  kundi la Jahazi, Leila Rashid  wakati wa tamasha la usiku wa Mwambao  uliowashirikisha wafanyakazi wa kampuni hiyo.
 Mwimbaji wa muziki wa taarabu  kundi la Jahazi Modern Taarabu , Leila Rashid  akiwapagawisha wafanyakazi wa Kampuni ya TBL wakati wa tamasha la Usiku wa Mwambao
 Leila Rashid akifanya vitu vyake 

 Wakiwa katika picha na mwimbaji Laila Rashid
vuiongozi wa TBL wakizungumza na Leila Rashid juu ya maisha yake ya kimuziki. 
Posted by MROKI On Tuesday, March 01, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo