Nafasi Ya Matangazo

February 17, 2016

Je wewe ni msanii wa bongo fleva au bongo movies? Je wewe ni  designer? Je wewe ni mdau katika game hii ya entertainment? Kama   ndivyo basi kama una story kali, ngoma mpya, project matata basi   share nasi hapa Vibe Magazine na sisi tutairusha kwenye toleo letu  la kila mwezi. kumbuka tutumie picha yenye viwango vikubwa, story   yenyewe kwa ufupi pamoja na contacts zako. Kumbuka Vibe Magazine  ndio gazeti la burudani linaloongoza Tanzania. tuma kwenda E-mail: vibemagazinetz@gmail.com
Posted by MROKI On Wednesday, February 17, 2016 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo