Je wewe ni msanii wa bongo fleva au bongo movies? Je wewe ni designer? Je wewe ni mdau katika game hii ya entertainment? Kama ndivyo basi kama una story kali, ngoma mpya, project matata basi share nasi hapa Vibe Magazine na sisi tutairusha kwenye toleo letu la kila mwezi. kumbuka tutumie picha yenye viwango vikubwa, story yenyewe kwa ufupi pamoja na contacts zako. Kumbuka Vibe Magazine ndio gazeti la burudani linaloongoza Tanzania. tuma kwenda E-mail: vibemagazinetz@gmail.com
February 17, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Ahsante kwa taarifa hii!
ReplyDelete