Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana
na walimu wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es
salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na
wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo
yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la
saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17
mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiweka saini kitabu cha wageni
alipowasili katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es
salaam kwa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa
shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe
aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla
hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa ameketi kwenye meza yake katika
ofisi ya waalimu katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini
Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na
wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo
yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la
saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17
mfululizo.
Wanafunzi wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam
katika sherehe hiyo fupi ya Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli kuwaaga
rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo
ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka
darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na
kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo. BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza
maelezo ya utangulizi ya mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni,
Mwalimu Dorothy Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea
elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena
hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza
maelezo ya Afisa Elimu wa Wilaya ya Kinondoni katika Shule ya msingi ya
Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya
kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana
historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya
msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama
mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Waalimu wa Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam
wakati wa sherehe fupi ya Mama janeth Magufuli kuwaaga rasmi walimu
wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana
kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la
kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi toka kwa Afisa Elimu
wa Wilaya ya Kinondoni katika Shule ya msingi ya Mbuyuni Oysterbay,
jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu
wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana
kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la
kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya
kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akisikiliza risala toka kwa mwanafunzi
wa shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe
aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla
hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea risala toka kwa mwanafunzi wa
shule ya Msingi ya Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa
sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo
ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea
elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena
hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Wanafunzi wakitumia simu za walimu wao katika Shule ya msingi ya
Mbuyuni Oysterbay, jijini Dar es salaam kurekodia wa sherehe fupi ya
Mama janeth Magufuli kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule
hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe
aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla
hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipokea zawadi ya saa toka kwa mwalimu
Mkuu wa shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy Mwalecela ,
Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi
walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo
ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka
darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na
kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa msaada wa vifaa vya shule kwa
wanafunzi wasiojiweza katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy
Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya
kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana
historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya
msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama
mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa
msaada wa vifaa vya shule kwa mmoja wa wanafunzi wasio na uwezo wa shule
ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe
fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo
ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu
ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo
kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17,
2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitoa msaada wa vifaa vya shule kwa
wanafunzi wasiojiweza katika shule ya Msingi ya Mbuyuni, Mwalimu Dorothy
Mwalecela , Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya
kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana
historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya
msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama
mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda akimkaribisha Mke
wa Rais Mama Janeth Magufuli kutoa nasaha zake katika shule ya msingi
ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya
kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana
historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya
msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama
mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubia katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Baadhi ya wanafunzi wakimshanngilia Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli wakati akihutubia katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na walimu wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akigonganisha na wanafunzi wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipata picha ya pamoja na walimu wa shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli katika picha na wanafunzi wa darasa la sita ambao alikuwa akiwafundisha wakati wako darasa la tano hadi mwisho wa mwaka jana shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiagana na mmoja wa wanafunzi wake wa darasa la sita mwenye ulemamavu na ambaye alimnunulia hicho kiti katika shule ya msingi ya Mbuyuni, Oysterbay, jijini Dar es salaam wakati wa sherehe fupi ya kuwaaga rasmi walimu wenzake na wanafunzi wa shule hiyo ambayo ana historia nayo ndefu sana kwani ndipo yeye mwenyewe aliposomea elimu ya msingi toka darasa la kwanza hadi la saba kabla hajarudi tena hapo kama mwalimu na kufanya kazi kwa miaka 17 mfululizo leo February 17, 2016.
0 comments:
Post a Comment