Nafasi Ya Matangazo

June 17, 2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhusiano kwa Umma na Nyaraka wa kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN), Bi. Nadhifa Omar ambayo iko chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mara baada ya kutembelea na kupata huduma katika banda hilo jijini Dodoma katika viwanja vya Chinangali ambapo maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2026 yanafanyika, Juni 17, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, akipokea zawadi kutoka kwa Mkuu wa kitengo cha Uhusiano kwa Umma na Nyaraka wa Kampuni ya magazeti ya Serikali (TSN), Bi. Nadhifa Omar ambayo iko chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, mara baada ya kutembelea na kupata huduma katika banda hilo jijini Dodoma katika viwanja vya Chinangali ambapo maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2026 yanafanyika, Juni 17, 2026.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete akipewa maelezo ya shughuli na huduma zinazotolewa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo pamoja na taasisi zake kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa rasilimali watu wa wizara hiyo, Bw. Gideon Malabeja, jijini Dodoma katika viwanja vya Chinangali ambapo maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma mwaka 2026 yanafanyika, Juni 17, 2026.

Posted by MROKI On Wednesday, June 17, 2026 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo