Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega
akigonganisha glasi na wageni waalikwa waliofika kwenye uzinduzi rasmi wa ukubi
huo uluoko Mbezi Salasala katika hafla iliyofanyika ukumbini hapo na
kuhudhuriwa na waalikwa mbalimbali kutoka makampuni na watu binafsi ili
kujumuika pamoja na kufurahia ukumbi huo wenye mandhari ya kipekee umezinduliwa
hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akigonganisha glasi na wageni waalikwa
Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega akimshukuru mungu kwa kumfikisha hapo alipofikia na kumshukuru mjenzi wa jengo hilo pamoja na wafanyakazi na wageni waalikwa kwa jinsi ambavyo wamejali na kumsaidia katika shughuli zake.
Bw. Borry Mbaraka kulia Meneja Masoko na Mauzo Litostar Park Mbezi Salasala akipozi kwa picha na wadau wa Litostar waliohudhuria katika uzinduzi huo.
Wageni waalikwa mbalimbali wakipata kinywaji katika hafla hiyo.
Wageni waalikwa wakisikiliza hotuba ya Mkurugenzi wa LitoStar Park Mbezi Salasala Bw. Thomas Mbega wakati apolikuwa akizungumza nao katika uzinduzi huo.
Vinywaji vya aina tofauti vinapatikana Litostar
Mandhari ya ukumbi wa Litostar unavyoonekana kwa ndani
LitoStar Park Mbezi Salasala unavyoonekana kwa nje.
0 comments:
Post a Comment