Mafundi wa Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es
salaam(Dawasco) wakiwa na Wakandarasi kutoka kampuni ya Sino Hydro
wakikarabati bomba la Maji lenye
inchi 54, lililokuwa likivuja
maeneo ya Makongo jeshini na kusababisha kukosekana kwa huduma ya Maji maeneo
mbalimbali ya jiji kwa Saa 36, huduma hiyo inatarajia kurejea katika hali yake
ya kawaida leo ambapo bomba hilo ni
tegemeo la kuleta Maji kutoka Ruvu chini na kupeleka katika matenki yaliyopo Chuo kikuu cha Ardhi, Jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment