Waziri wa Viwanda na Biashara Charles Mwijage akimsikiliza kwa makini Meneja wa Kiwanda cha Bia Tanzania( TBL) Calvin Martin, wakati alipokuwa akimuelezea shughuli zinazofanywa katika kiwanda hicho wakati alipofanya ziara ya kikazi kiwandani hapo jijini Dar es Salaam
Waziri wa Viwanda na Bishara Charles Mwijage (kulia ) akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jorrin
Waziri wa viwanda na Bishara Charles Mwijage (kulia ) akifafanua jambo kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Roberto Jorrin
0 comments:
Post a Comment