Nafasi Ya Matangazo

January 18, 2016

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni, Prisca Komba akiwafundisha wafanyakazi wa kampuni ya DarBrew masuala yanayohusiana na jinsia.Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
Mkaguzi Msaidizi wa Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni, Prisca Komba akiwafundisha wafanyakazi wa kampuni ya DarBrew masuala yanayohusiana na jinsia.Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia kiwanda cha Dar es Salaam wakipata mawaidha kutoka kwa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni, Prisca Komba wakati wa mafunzo ya jinsia yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
Afisa Mwandamizi wa TBL, Eliakim Anania akijadiliana jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni, Prisca Komba wakati wa mafunzo ya jinsia yaliyofanyika jijini Dar es Salaam. Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
Mfanyakazi wa kampuni ya Konyagi,Semphroza mhanzi akijadiliana jambo na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi kutoka dawati la jinsia wilayani Kinondoni,  Prisca Komba wakati wa mafunzo ya jinsia yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Mafunzo haya yanaendelea katika viwanda vilivyopo chini ya TBL Group nchini kote .
Posted by MROKI On Monday, January 18, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo