Nafasi Ya Matangazo

January 04, 2016

MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akihutubia katika mkutano wa hadhara uliofanyika hivi karibuni katika kijiji cha Magozi Kata ya Ilolo mpya tarafa ya Pawaga Wilayani Iringa Mkoani Iringa. Mkutano huo ni moja ya mikutano mbalimbali inayofanywa na Mkuu huyo wa Wilaya ambapo pamoja na mambo mengine huitumia kupokea kero za wananchi na kuzitatua. MKUU wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela akihutubia mkutano huo.
 Mkazi wa Magozi akizungumza katika mkutano huo wa hadhara.
 Wanakijiji wakiwa mkutanoni
 Mwanahabari akichukua dondoo za mkutano huo 
 Mwananchi akizungumza na kunukuliwa na vymbo vya habari.
Posted by MROKI On Monday, January 04, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo