Familia ya marehemu Andrea Joseph Salema inasikitika
kutangaza kifo cha ndugu yao Linus Andrea Salema kilichotokea tarehe 18.10.2015 katika hospitali ya Moravian
–Sikonge Tabora.
Mipango ya mazishi inafanyika Tabata Mawenzi
nyumbani kwa Bw.Shanel Andrea Moshy na
mazishi yanatarajiwa kufanyika Jumatano kijijini Kilema Kimaroroni.
Habari ziwafikie
wana ukoo wa Salema,Kirita,Kessy, Marangu na Nganjoni,ukoo wa Temu,ndugu
jamaa na marafiki popote walipo.
0 comments:
Post a Comment