Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Mbeya katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Rwanda Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.

mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi Mgombea
Ubunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Mh. Joseph Mbilinyi "Sugu", katika
Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Rwanda
Nzovwe, Jijini Mbeya leo Oktoba 18, 2015.
0 comments:
Post a Comment