Askari
wa Bunge wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina Kombani, wakati
likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya shughuli la kuagwa kabla ya
kusafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa maziko.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa
heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya
Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli za
kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini India na
anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa
shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Spika
wa Bunge la Jamhuri, Mama Anne Makinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya
Utumishi wa Umma, marehemu Celina
Kombani, wakati wa shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28,
2015 kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani
alifariki Agosti 24 huko nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani
Morogoro.
Mama
Maria Nyerere, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa
aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa shughuli
za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja vya
Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko nchini
India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Mke
wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya Jeneza lenye
mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa
Umma, marehemu Celina Kombani, wakati wa
shughuli za kuaga mwili huo zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye Viwanja
vya Karimjee jijini Dar es Salaam. Marehemu Kombani alifariki Agosti 24 huko
nchini India na anatarajia kuzikwa kesho mkoani Morogoro.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na wananchi na baadhi ya Viongozi wakati wa shughuli ya kuaga na kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Rais
Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
marehemu Celina Kombani, zilizofanyika leo Septemba 28, 2015 kwenye
Viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam.
Askari
wa Bunge wakibeba Jeneza lenye mwili wa marehemu Celina Kombani, wakati
likiwasili kwenye Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya shughuli la kuagwa kabla ya
kusafirishwa kuelekea mkoani Morogoro kwa maziko.
Baadhi
ya Viongozi waliohudhuria shughuli hiyo wakiwa katika foleni ya kwenda kutoa
heshima za mwisho wakati wa kuagwa mwili huo, kwenye Viwanja vya Karimjee, leo.
0 comments:
Post a Comment