Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2015

 IMG_7562  
Mbunge wa Singida mjini, Mohamed Dewj 'MO' akihutubia mkutano wake wa hadhara mjini Singida wakati wa kuwaaga wapiga kura wake hao. IMG_7530
Mkazi wa Singida mjini akimwomba Mbunge wake asiache ngazi kwa maana bado wanamuhitaji baada ya kutangaza kutogombea tena.IMG_7549
Mwanamama huyu akiwa haamini macho yake huku machozi yakimlenga lenga baada ya kusikia Mbunge wake kutogombea tena ubunge wa jimbo la Singida mjini.
IMG_7533
Watoto hawa machozi yakiwalenga na kuonyesha huzuni baada ya kumsikia mbunge wao akitangaza kuachia ngazi jimbo la ubunge wa Singida mjini.
IMG_7535
Wananchi wa Singida wakisikiliza hotuba ya mbunge wao.
IMG_7536 IMG_7567
Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akisalimiana na mkazi wa kijiji cha Kinyampembe kata ya Meria ambaye ni mlemavu wa macho na miguu aliyefahamika kwa jina moja tu la Kangariga wakati wa hafla ya mkutano wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka ya ubunge wake, ambapo aliitumia nafasi hiyo kutangaza rasmi kutogombea tena jimbo la Singida mjini jana katika viwanja vya People's Club.
IMG_7445
Umati wa wananchi wa Singida ukiwa uchizika na burudani ya Diamond Platnumz.
IMG_7447  
IMG_7476
Diamond Platnumz a.k.a Chibu Dangote katika hisia kali kuwapa raha maelfu ya wananchi wa Singida mjini.
IMG_7481
Umati wa maelfu ya wananchi wa Singida mjini uliokusanyika katika viwanja vya People's Club kusikiliza taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya ubunge wa Mh. Mohammed Dewji.
  IMG_7617 
IMG_7626
Vijana wakimshangilia Chibu Dangote.
IMG_7645
Shangwe za wananchi wa Singida mjini.
Posted by MROKI On Thursday, July 09, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo