AfisaMasokonaUtafiti, Andes
Seiyaakiwaelezeawadauwaliotembeleabanda la AICC hudumazinazotolewana AICC katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu sabasaba..
MwenyekitiwaBodiya AICC, Balozi Christopher C. Liundiakisainikitabu
cha wagenialipotembeleabanda la AICC, katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu sabasaba.
Mwenyekiti wa Bodi ya AICC
akibadilishana mawasiliano na mmoja wa wadau kutoka China alipotembelea banda la AICC katika maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam maarufu sabasaba.
**********
KITUO
cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) kimeshiriki maonesho ya 39 ya kimataifa
ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) ili kuelezea umma juu ya shughuli zake mbalimbali
ikiwemo masuala ya uendeshaji wa mikutano.
AICC
ilielezea pia uwepo wa kituo chake cha Mikutano kwa Mkoa wa Dar es Salaam
kijulikanacho kama Julius Nyerere
International Convention Centre (JNICC) chenye kumbi zenye uwezo wa kuhudumia
wageni 10-1000.
Mbali
na masuala ya mikutano AICC pia iliweza kuwaelezea wadau mbalimbali walio tembelea
banda lao juu ya huduma ya upangishaji wa nyumba za kisasa za makazizilizopo eneo
la Fire na Range Road jijini Arusha na uwepo wa nafasi za kupanga kwa ajili ya Ofisi
kwenye Makao Makuu ya AICC jijini Arusha.
0 comments:
Post a Comment