Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwasili katika
Ofisi ya CCM Wilaya Geita, kwa ajili ya kudhaminiwa na wanchama wa chama hicho
kugombea Urais mkoani Geita jana ambapo wanchm zaidi ya 3000 wamejitokeza
kumdhamini
Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akizungumza na wanachama
na wananchi nje ya Ofisi ya CCM wilayani
Geita baada ya kukabidhiwa fomu za
majina ya wanachama 3000 waliojitokeza kumdhamini kugombea Urais mkoani Geita
jana.
Katibu wa CCM Wilaya ya Geita,Kilian Robert, akimkabidhi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa fomu
zenye majina ya wanachama 3000 waliomdhamini kugombea urais mkoani Geita jana.
0 comments:
Post a Comment