Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa
na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akitoa neno kwa umati wa waombolezaji katika
msiba wa Mufti mkuu Issa Shaban Bin Simba nyumbani katika Mtaa wa Majengo mjini
Shinyanga, baada ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Nguzo Nane mjini
humo Juni 16.2015.
|
0 comments:
Post a Comment