Jeneza lenye mwili wa Marehemu,
Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, likitolewa
nyumbani kwake, tayari kwa safari ya kwenda msikitini kuswaliwa na
baadae kwenye mazishi, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
Masheikh
kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini wakimzika Mufti Mkuu wa Tanzania,
Sheikh Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye
Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Fredrick Sumaye akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Waziri Mkuu Mstaafu, Mh. Edward Lowassa akiweka ugongo kwenye Kaburi la Marehemu Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, aliezikwa leo Juni 16, 2015 kwenye Makaburi ya Waislam, Nguzo Nane Mkoani Shinyanga.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Mazishi ya Marehemu, Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Shaaban bin Simba, Mbaraka Simba wakati kwenye Makaburi ya Waislam ya Nguzo Nane, Mkoani Shinyanga leo Juni 16, 2015.
KUONA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
0 comments:
Post a Comment