Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Leonidas Gama akikata utepe katika daraja hilo kuashiria uzinduzi rasmi wa dara.
Mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro(KINAPA) Erastus Rufunguro akizungumza katika makabidhiano hayo.
Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro,Remida Ibrahim
akizungumza katika hafla fupi ya makabidhiano ya mradi huo pamoja na
kufanya utambulisho kwa viongozi.
Daraja linalotenganisha vijiji vya Singa na Sungu wilaya
ya Moshi vijijini ambalo kwa sasa limekuwa msaada mkubwa kwa wakazi wa
maeneo hayo kufika kwa urahisi katika hosptali ya Kibosho.
RC Gama akipita pamoja na viongozi wengine kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) katika dara hilo
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kandaya Kaskazini.
0 comments:
Post a Comment