![]() |
| Baadhi ya wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro ,Sheakh Kombo akizungumza wakati akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Ardhi ,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. |
![]() |
| Naibu Waziri,Kairuki akifurahia jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro,Sheakh Kombo. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Angela Kairuki akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakzi wa shirika la nyumba la taifa mkoa wa Kilimanjaro. |
![]() |
| Baadhi ya nyumba za NHC zilizoanza kufanyiwa ukarabati. |
Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya
Makazi,Angela Kairuki akikagua nyumbaza NHC zinazofanyiwa ukarabati
zilizoko eneo la Rau.










0 comments:
Post a Comment