Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, akiwahubia wakazi wa
mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya ,Town
School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa kutoka
azimio la Arusha.
Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Anna Mghira, akiwahutubia wakazi
wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja vya
,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa
kutoka azimio la Arusha.
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Samson Mwigamba, akiwahutubia
wakazi wa mji wa Tabora juzi wakati wa mkutano wa hadhara kwenye viwanja
vya ,Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa
kutoka azimio la Arusha.
Wakazi wa mji wa Tabora wakifuatilia mkutano wa hadhara kwenye viwanja
vya Town School, mara baada ya kuzindua Azimio la Tabora lililouhishwa
kutoka azimio la Arusha.
0 comments:
Post a Comment