Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda(kulia) akimkabidhi ndugu wa karibu wa Mwanamuziki, Ally Kiba Tuzo ya tano katika hafla ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards iliyofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Msanii wa nyimbo za Mashahiri, Mrisho Mpoto akionyesha tuzo yake aliyotwaa katika kapengele cha Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Kitanzania.Wimbo wake wa Waite waite ndio ulishinda.
Ndugu wa karibu wa msanii wa Diamond Platinum akishukuru mara baada ya msanii huyo kupata Tuzo ya pili ya Video Bora ya Mwaka, ambapo wimbo wa Mdogo mdogo kushinda.
Mwanamuziki, Vanesa Mdee akitoa burudani wakati wa hafla hiyo.
Msanii wa chipukizi, Maua Sama akitoa shukrani mara baada ya kutwaa tuzo ya mwaka ya wimbo bora wa reggae/Dance Hall
Muimbaji Vaneza Mdee akifurahi na wacheza shoo wake mara baada ya kutunukiwa tuzo ya pili ya Mtumbuizaji bora wa mwaka wa kike. SOMA ZAIDI FK MATUKIO
0 comments:
Post a Comment